Yahoo España Búsqueda web

Search results

  1. Hace 5 días · Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu hiyo, Salim Abdallah 'Try Again', amesema zoezi la kufyeka wachezaji wote wavivu, walioshuka viwango na wasiojituma bado linaendelea na linafanywa na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha kwa kushirikiana na viongozi, hivyo kuwataka wachezaji wote waliopo sasa wafanye kazi ya kuipambania Simba na si vinginevyo.

  2. Hace 2 días · Benchikha will be hoping that Sadio Kanoute, Babacar Sarr, and Fabrice Ngoma will do the work in the engine room. Simba SC needs to score to advance to the semi-finals, they will look to the front three of Kibu Denis, Saidi Ntibazonkiza, and Clatous Chama. Al Ahly has nine wins and two draws in the last 11 home outings in the CAF Champions League.

  3. Hace 2 días · Benchikha Abdelhak, the Simba SC head coach said that although they dominated play and gave a good account, they failed to score. “Al Ahly crated one chance and scored, but we had six good chances and failed to score,” reasoned the coach.

  4. Hace 1 día · Kigogo huyo aliyekataa kuandikwa jina, ameiambia Mwanaspoti kwamba inawezekana kinachoendelea baina ya pande hizo hawawezi kuingilia, ila ujkweli wanachojua wao (TFF) ni kwamba mkataba wa Inonga na Simba ni hadi mwakani kwani. "Sipendi kuzungumzia sana hizi ishu za mikataba kwa vile ni suala la klabu na wachezaji, lakini hii inasajiliwa huku na ...

  5. Hace 4 días · Kocha Mkuu wa Yanga, raia wa Argentina, Miguel Gamondi, naye anaingia katika kitabu cha kumbukumbu cha mwalimu aliyeiongoza timu hiyo kushinda dabi mbili kwa msimu mmoja, huku Abdelhak Benchikha, ikiwa ni dabi yake ya kwanza, ambayo ameanza kwa kipigo.

  6. Hace 2 días · WAKATI ikitangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake, Kamal Bounjnane na Farid Zemit, kikosi cha Simba leo kinatarajia kushuka kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi dhidi ya Namungo FC, ikiwa chini Kocha Juma Mgunda bila nyota wao sita.

  7. Hace 5 horas · Mgunda amesema kuwaweka wachezaji wake karibu na kuongea nao kama mzazi kumesaidia kubadili upepo wa wachezaji wake na kupambana kumpatia matokeo mazuri kwenye michezo minne aliyoisimamia timu hiyo tangu kuondoka kwa kocha Mkuu Abdelhak Benchikha.