Yahoo España Búsqueda web

Search results

  1. Hace 4 días · soma na kujua habari zote za leo April 22, 2024 zilizotufikia kwa sasa na furahia magazeti ya leo kupitia blog yetu ya greenwavesmedia.co.tz, utapata Habari mpya za - bila kusahau habari za michezo Green Waves Media Tanzania is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context ...

  2. Hace 5 días · Rais Samia ametoa maagizo hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa binafsi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. “Pili, taasisi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi zihakikishe zinazingatia matakwa ya sheria ya ulinzi binafsi na tume itoe elimu kusisitiza wajibu wa taasisi hizo.

  3. Hace 5 días · Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora ya afya pamoja na ruzuku ya mbolea kwa wakulima katika Mkoa wa Ruvuma. Mhe. Jenista ameyasema hayo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi, […]

  4. Hace 3 días · RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus, Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Silima ambaye amemaliza muda wake. Pia juzi, Rais Samia ...

  5. Hace 4 días · Monduli. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amedai anawafahamu baadhi ya watu wanaotuma watu kumchafua Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni na kwamba baadhi yao ni mawaziri. Amesema endapo watu hao wataendelea kumchafua Rais Samia mitandaoni hadi kufikia Aprili 15, 2024, atawataja kwa majina. Makonda ametoa madai hayo leo Aprili 12, 2024 mbele ...

  6. Hace 4 días · Malika Restaurant & Bar. Located on the sea front Kings Road Brighton with views over the sea, our restaurant offers you an authentic Indian food experience. Open for Breakfast from 9am. Tuesday to Sunday. Also a choice of lunch brunch dishes fish & chips, hamburgers and Indian street food. We are a Bar also, enjoy a drink on our terrace.

  7. Hace 3 días · Samia aidhinisha ajira mpya 46,000. Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene. WABUNGE wameitaka serikali kuja na mpango mkakati wa kutoa ajira za kutosha katika kada za elimu na afya ili kukabiliana na uhaba wa watumishi nchini hali itakayoendana na utekelezaji wa miundombinu uliofanyika hivi ...